Mapema leo, Kamati ya Utendaji Yanga chini ya Rais Eng.Hersi Said wamekabidhi majukumu kwa Wajumbe wa Kamati ya Mfumo wa Mabadiliko tayari kwa hatua zinazofuata za mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa Klabu
Kamati hiyo chini ya Mwanasheria msomi Alex Mgongolwa imepokea majukumu hayo na kuanza rasmi utekelezaji wake









ADVERTISE HERE