Uongozi wa Yanga umeahidi kuwapa mgao wachezaji sehemu ya pesa watakazolipwa na CAF kama watatinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho.
Yanga italipwa kitita cha zaidi ya Mil 600 kama itafanikiwa kuiondoa Wolaitta Dicha kwenye mchezo wa marudiano kwao nchini Ethiopia.
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema wamekusudia kuwapa mgao wachezaji kwa kuthamini kazi nzuri waliyofanya tangu kuanza kwa michuano hiyo.
Juzi baada ya kuilaza Dicha mabao 2-0, wachezaji wa Yanga walipewa motisha inayofikia Mil 50 ikiwa ni shukrani kwa kazi nzuri waliyofanya

ADVERTISE HERE