Kikos cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam baada ya kumaliza kazi iliyowapeleka Mwanza
Jana Yanga iliifumua Singida FG mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba
Wananchi wanarejea Dar kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Simba utakaopigwa April 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa




ADVERTISE HERE