Azam Media imeiomba radhi klabu ya Yanga kufuatia kurusha mahojiano baina yake na Fiston Mayele ambayo yamekiuka misingi ya Habari. Taarifa iliyotolewa na Azam Media mapema leo, imebainisha kuwa wamejiridhisha kuwa upande wa Yanga haukupewa nafasi ya kujibu hoja

ADVERTISE HERE