Vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga Jumapili wataendelea na kampeni ya kusaka ubingwa wa 30 katika historia ukiwa ni ubingwa wa tatu mfululizo pale watakapomenyana na Singida FG katika mchezo utakaopigwa uwanja wa CCM Kirumba
Singida FG ambao awali makao yao yalikuwa Singida, sasa wamehamia Mwanza wakitumia uwanja wa CCM Kirumba kama uwanja wao wa nyumbani
Tayari wametangaza viingilio vya mchezo huo ambapo Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE