Itakuwa derby ya kuhakikisha ubingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Apr 2024
Itakuwa derby ya kuhakikisha ubingwa

Mapema leo, Bodi ya Ligi ilitangaza kuupangia tarehe mchezo wa watani wa jadi Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Simba uliokuwa umewekwa kiporo

Ni April 20, mtanange huo utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 11 jioni

Huu ni mchezo muhimu sana kwa Yanga kwani alama tatu zitawaweka Wananchi katika nafasi nzuri zaidi ya kutwaa ubingwa

Mechi hii inawezekana imekuja katika wakati mwafaka kwani nyota wote watakuwa tayari kuhusika katika mchezo huo

Licha ya kupona majeraha, kocha wa Yanga Miguel Gamondi hakutaka kuwatumia wachezaji Khalid Aucho na Pacome Zouzoua katika mechi dhidi ya Mamelodi Sundowns na sasa inaonekana alifahamu mchezo huo muhimu ungefuatia karibuni

Aucho, Pacome na Yao Kouassi watakuwa na muda mzuri wa kuimarika kuwa tayari kwa mtanange huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’