Yanga imeondoshwa ligi ya mabingwa kupitia changamoto ya mikwaju ya penati 3-2 baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Mamelodi Sundowns
Jambo la msingi ni kuwa Afrika imeiona Yanga, hao Mamelodi Sundowns hawakuonyesha maajabu yoyote
Mbaya zaidi Yanga imefunga bao halali ndani ya muda wa mchezo lakini kila mmoja ameona ni kwa kiasi gani CAF walipanga ni lazima Mamelodi wavuke hatua hii
Hongera wachezaji wa Yanga nyinyi mmeshinda mchezo wa leo, kilichotokea kitaingia katika vitabu vya kumbukumbu
ADVERTISE HERE