Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo amemkabidhi kadi ya uanachama Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. James Bwana
Balozi Bwana leo alitembelea kambi ya Yanga iliyopo Pretoria kujiandaa na mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao utapigwa Ijumaa
ADVERTISE HERE