Baada ya msafara wa mashabiki kuondoka nchini hapo jana kuelekea Afrika Kusini, leo msafara uliobeba wachezaji, benchi l ufundi na viongozi umeondoka
Yanga inakwenda Afrika Kusini ikiwa na dhamira moja, kusaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundowns na kutinga nusu fainali ya CAF CL
Nia ipo, dhamira ipo na uwezo upo!









ADVERTISE HERE