Klabu ya Yanga imewataka mashabiki ambao wamekosa nafasi kuingia uwanja wa Benjamin Mkapa kurejea nyumbani kushuhudia mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns kupitia Azam TV
Ni baada ya idadi ya mashabiki wanaopaswa kuingia katika uwanja huo kutimia
Kwa maana mashabiki 60,000 tayari wameingia uwanjani




ADVERTISE HERE