Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia leo ameshuhudia mazoezi ya Yanga Avic Town yakiwa ni maandalizi kulekea mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaopiga Jumamosi March 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
TFF na Bodi ya Ligi wako bega kwa bega na klabu za Yanga na Simba zinazokabiliwa na mechi za robo fainali ligi ya mabingwa barani Afrika
ADVERTISE HERE