Yanga imehitimisha hamasa kwa mashabiki wake kuelekea mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi
Wananchi wa Tandika leo walikuwa na kazi moja tu, kupiga simu kwa kila mtu kuhakikisha anakuwepo uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi










ADVERTISE HERE