Wananchi wa Makumbusho hamasa imewafikia kuelekea mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao utapigwa Jumamosi, March 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Simu zimeendelea kuita mtaa kwa mtaa kuhakikisha mashabiki 60,000 wanaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi







ADVERTISE HERE