Mshambuliaji wa Yanga kinara wa mabao Obrey Chirwa tayari amerejea kutoka nchini Zambia alikokuwa amekwenda kushughulikia matatizo ya kifamilia.
Chirwa alikuwepo kwenye uwanja wa Taifa kuishuhudia timu yake ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu.
Kwenye mchezo wa leo, kama Chirwa angekuwepo dimbani bila shaka Yanga ingeibuka na ushindi mnono zaidi.
Habari njema ni kwamba tayari Chirwa amemaliza adhabu yake ya kukosa mchezo mmoja na sasa anayo sifa ya kucheza mchezo ujao

ADVERTISE HERE