Stars hoi mbele ya Bulgaria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Mar 2024
Stars hoi mbele ya Bulgaria

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars ' imepoteza mchezo wa kwanza wa michuano maalum ya FIFA Series 2024 ikichapwa bao 1-0 na Bulgaria

Ilikuwa mechi ambayo Stars ingeondoka na matokeo mazuri lakini kukosekana kwa umakini kuliwanyima Tanzania mabao kupitia nafasi adimu zilizopotezwa na Feisal Salum na Kibu Denis

Stars itakamilisha mechi ya pili Jumatatu, March 25 kwa kuvaana na Mongolia

Baadhi ya wachezaji wa Yanga wanatarajiwa kurejea nchini baada ya mchezo wa leo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liliahidi kuwaruhusu baadhi ya wachezaji wa Yanga na Simba kurejea nchini baada ya mechi ya leo kuungana na wenzao wanaojiandaa na mechi za robo fainali ligi ya mabingwa

Nyota wa Yanga waliotumika katika mchezo wa leo wanaweza kuwa miongoni mwa watakaoondoka mapema

Wachezaji hao ni Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize

Mlinda lango Aboutwalib Mshery huenda akaendelea kubaki baada ya majeraha aliyopata Aishi Manula

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’