Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua ameitwa timu ya Taifa ya Ivory Coast kwa ajili ya mechi za Kimataifa za kirafiki dhidi ya Benin na Uruguay
Pacome anakuwa mchezaji wa tisa wa Yanga kuitwa timu za Taifa akiungana na Aboutwalib Mshery, Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya, Clement Mzize, Djigui Diarra, Kennedy Musonda na Aziz Ki
ADVERTISE HERE