Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameibuka kocha bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Februari 2024 akiwashinda Abdelhal Benchikha wa Simba na Ahmad Ally wa Tanzania Prisons
Yanga ilicheza mechi tano mwezi Februari ikishinda mechi nne na kutoka sare mchezo mmoja
Aidha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi imekwenda kwa mlinda lango wa Coastal Union, Vumilei Matampi akiwashinda Mudathir Yahya wa Yanga na Samson Mbangula wa Prisons

ADVERTISE HERE