Droo robo fainali CAF CL inafanyika Misri leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2024
Droo robo fainali CAF CL inafanyika Misri leo

Leo Jumanne, Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) litaendesha droo ya robo fainali katika ligi ya mabingwa(CAF CL) na kombe la Shirikisho (CAF CC)

Droo hiyo inafanyika Misri kuanzia saa 9 Alasiri ikianza na kombe la Shirikisho (CAF CC) kisha kufuatiwa na ligi ya mabingwa (CAF CL) saa 10

Yanga iliyomaliza nafasi ya pili kundi D, itapangwa dhidi ya kinara wa kundi A, B au C yaani Mamelodi Sundowns, Petro Atletico na Asec Mimosas

Mechi ya kwanza ya robo fainali itapigwa kati ya March 29-31 Yanga ikianzia nyumbani na mechi ya marudiano kupigwa wiki moja baadae

Wananchi wataifuatilia droo hiyo mbashara kutoka Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani, kuanzia saa 9 Alasiri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’