Yanga imewasili salama Ruangwa kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kesho Ijumaa katika uwanja wa Majaliwa
Vijana wa Miguel Gamondi leo watakuwa na nafasi kujifua katika dimba la Majaliwa kukamilisha maandalizi majira ya saa 1 usiku





ADVERTISE HERE