Tukutane Ruangwa dhidi ya Namungo Fc Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2024
Tukutane Ruangwa dhidi ya Namungo Fc Ijumaa

Yanga ina nafasi ya kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama nyingi zaidi kama itashinda mchezo dhidi ya Namungo Fc utakaopigwa uwanja wa Majaliwa siku ya Ijumaa, March 08

Leo Simba wamekubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons sasa wakibaki nyuma ya Yanga kwa tofauti ya alama 7 huku timu zote zikicheza mechi 16

Maana yake Yanga inazihitaji alama tatu za Namungo ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi katika mbio za ubingwa

Yanga itaondoka jijini Dar es salaam kesho Alhamisi asubuhi kuelekea mkoani Lindi tayari kwa mchezo huo

Dalili njema kuelekea ubingwa wa 30 zimeanza kuonekana mapemaaaaa...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’