Aucho kamili kuikabili Namungo Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Mar 2024
Aucho kamili kuikabili Namungo Fc

Daktari wa Yanga Moses Etutu amesema kiungo Khalid Aucho anaendelea vyema na anaweza kutumika katika mchezo unaofuata ligi kuu ya NBC dhidi ya Namungo Fc utakaopigwa Ijumaa, March 08 uwanja wa Majaliwa, Ruangwa

Aucho alipata majeraha ya goti katika mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly. Mchezo uliopigwa Misri Yanga ikikubali kipigo cha bao 1-0

Aucho hakuweza kumaliza dakika 90 za mchezo huo nafasi yake ikichukuliwa na Salum Abubakar 'Sure Boy'

Etutu alisema majeraha hayo hayakuwa makubwa walichofanya katika mchezo huo ni kumpumzisha ili asipate madhara zaidi

"Ni kweli Aucho alipata majeraha ya goti katika mchezo dhidi ya Al Ahly. Hayakuwa majeraha makubwa, tulimtoa kwa tahadhari ya kumlinda asidhurike zaidi. Yuko sawa na mwalimu anaweza kumtumia katika mchezo unaofuata," alisema Etutu

Aucho amekuwa nguzo muhimu katika eneo la kiungo la Yanga msimu huu

Ni mmoja wa wachezaji ambaye pale anapokosekana pengo lake huonekana dhahiri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’