Ile Sinema ya Feisal Salim dhidi ya Yanga imewarudia Azam Fc baada ya leo mshambuliaji Prince Dube kuandika barua ya kuomba kuvunja mkataba wake
Feisal aliandika barua ya kuvunja mkataba wake na Yanga wakati Wananchi wakijandaa kuivaa Azam Fc, ndivyo ilivyotokea kwa Dube kwani ameomba kuvunja mkataba wake na Azam Fc siku chache kabla ya timu hizo kuchuana March 17
Ni wiki iliyopita tu Dube alikuwepo dimba la Mkapa akiwashuhudia Wananchi wakitinga robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad
Silaha ileile waliyoitumia kipindi kile basi itatumika dhidi yao. Dube anataka kushinda makombe! Tusubiri kuona mwisho wake...!
ADVERTISE HERE