Aziz Ki ameingia katika rekodi za CAF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2024
Aziz Ki ameingia katika rekodi za CAF

Stephane Aziz Ki amepachika bao moja katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu lakini ndio mchezaji aliyetengeneza nafasi nyingi zaidi za wazi katika mechi za hatua ya makundi

Akiwa na assist mbili, Aziz Ki pia alitengeneza nafasi nyingine kubwa mbili za mabao ambazo hazikutumika

Saiffedine Bohra wa Wydad na Clatous Chama wa Simba ndio wanaofuatia wakitengeneza nafasi kubwa tatu

Bohra ana assist mbili wakati Chama ana assist moja pekee

Wananchi wana matumaini makubwa kuwa moto huu walioonyesha katika hatua ya makundi, utaendelea huko kwenye mtoano Yanga ikitarajiwa kuchuana na Mamelodi Sundowns, Petro Atletico au Asec Mimosas

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’