Kikosi cha Yanga kimewasili salama kutoka Misri ambako jana walikamilisha mechi za hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly
Licha ya kupoteza mchezo huo, Yanga imemaliza nafasi ya pili kundi D ikijihakikishia tiketi ya kucheza robo fainali tangu walipoichapa CR Blouizdad mabao 4-0 katika mchezo uliopita
Kinachosubiriwa sasa ni droo ya robo fainali ambapo mechi zote za kuhitimisha makundi zitakamilika katika wikiendi hii





ADVERTISE HERE