Jezi yetu ni njano siku hiyo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Apr 2018
Jezi yetu ni njano siku hiyo
Uongozi wa Yanga umewaasa mashabiki wengi kujitokeza kwenye uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu yao itakapokuwa inachuana na Welayta Dicha katika mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho utakaopigwa keshokutwa Jumamosi April 07 kwenye uwanja wa Taifa.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amependekeza kuvaliwa kwa jezi za rangi ya njano ili kuupendezesha zaidi uwanja.

Yanga inahitaji kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo wa kwanza ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’