Mechi itapigwa hapa Cairo International Stadium

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Feb 2024
Mechi itapigwa hapa Cairo International Stadium

Kikosi cha Yanga jana jioni kilifanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Cairo International ambao utatumika kesho katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly

Yanga ilipaswa kufanya mazoezi ya mwisho katika uwanja huo leo lakini Menaja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amefafanua kuwa leo kutakuwa na mchezo wa ligi kuu utakaopigwa hapo

Yanga iko Misri tangu juzi, Wananchi wakisubiri mtanange huo ambao alama tatu zitawapeleka juu ya msimamo wa kundi D

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’