Kesho Ijumaa, 06 April 2018 uongozi wa Yanga unatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu Jangwani jijini Dar es salaam kuanzia saa saba na nusu mchana.
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa pamoja na Afisa Habari Dismas Ten wanatarajiwa kuongoza Mkutano huo mahsusi kuelezea maandalizi ya kikosi cha Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Welayta Dicha.

ADVERTISE HERE