Kikosi cha Yanga tayari kimekanyaga ardhi ya Misri kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Ijumaa, March 1
Yanga itakuwa na siku mbiili za maandalizi kabla ya mechi hiyo muhimu ambayo ushindi utaishuhudia Yanga ikiongoza kundi D







ADVERTISE HERE