Happy Birthday Diarra

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2024
Happy Birthday Diarra

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra

Kwa yeyote anayezungumzia mafanikio ya Yanga katika misimu miwili iliyopita hatakosa kutaja jina la Diarra kama mmoja wa wachezaji waandamizi waliokuwa na mchango mkubwa

Diarra ameibuka mlinda lango bora wa ligi kuu ya NBC kwa misimu miwili mfululizo na ameendelea kudhihirisha umahiri wake

Pengine uwepo wake Yanga unatoa darasa kwa magolikipa wanaochipukia vile wanapaswa kutimiza majukumu yao

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa

HAPPY BIRTHDAY DIARRA..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’