Ligi Kuu ya Vodacom mzunguuko wa 23 inatarajiwa kuendelea kesho Ijumaa kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Michezo miwili inatarajiwa kupigwa kesho ambapo Singida United itaikaribisha Mtibwa Sugar huku Mbao FC ikiwa mwenyeji wa Lipuli.
Yanga haitacheza wikiendi hii kwa kuwa itakuwa na mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya Welayta Dicha Jumamosi.
Ila itashuka dimba la Taifa Jumatano ijayo April 11 kuikabili Singida United.
Ratiba kamili

ADVERTISE HERE