Yanga imefanya mazoezi ya mwisho leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CR Belouizdad ambao utapigwa Jumamosi, Februari 24
Wachezaji wa Yanga walikuwa kivutio baadhi yao wakiitikia wito wa kuweka 'bleach' katika nywele zao
Kama Aziz Ki ameweka 'bleach' Mwananchi we ni nani ukatae kuweka bleach?
ADVERTISE HERE