Belouizdad waja na kocha wa Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Feb 2024
Belouizdad waja na kocha wa Stars

Kocha Mkuu wa timu ya taifa Tanzania  'Taifa Stars' Adel Amrouche ni sehemu ya msafara wa kikosi cha timu ya CR Belouizdad uliokuja nchini kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi

Kocha huyo alionekana kuwa karibu na kikosi hicho kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa (Mw. Nyerere International Airpot) hadi katika kambi ya kikosi hicho katika moja ya Hotel za Kitalii, Jijini Dar es Salaam

Amrouche alifungiwa mechi nane na CAF baada ya kutoa kauli zenye utata katika michuano ya Afcon 2023 iliyomlizika hivi karibuni huko Ivory Coast

Msafara wa Belouizdad umejumuisha idadi kubwa ya mashabiki ambao walinza kuwasili  nchini tangu jana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’