Welayta Dicha yawasili kuikabili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Apr 2018
Welayta Dicha yawasili kuikabili Yanga
Kikosi cha timu ya Welayta Dicha kutoka nchini Ethiopia kimewasili leo Jumatano mchana tayari kwa mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Welayta itakuwa mgeni wa Yanga kwenye mchezo huo utakaopigwa kwenye dimba la Taifa siku ya Jumamosi April 07 2018 saa kumi kamili jioni.

Wakati wageni hao wakitua nchini, wenyeji wao Yanga bado wako mkoani Morogoro wakijifua kikamilifu na wanatarajia kurejea jijini Dar es salaam kesho Alhamisi.

Tayari viingilio vya mchezo huo vimeshawekwa hadharani ambapo VIP A ni Tsh 15,000/- VIP B na C Tsh 10,000/- mzunguuko ni Tsh 3,000/-
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’