Kituo kinachofuata ni Tanzania Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2024
Kituo kinachofuata ni Tanzania Prisons

Upo msemo usemao Vita ya panzi ni furaha kwa kunguru, ndicho kilichotokea CCM Kirumba leo baada ya Azam Fc na Simba kutoshana nguvu kwa matoko ya sare ya bao 1-1

Yanga imeendelea kujiimarisha kileleni kwa tofauti ya alama tano dhidi ya Azam Fc ambayo sasa imefikisha alama 32 huku Simba ikibaki na alama 30 alama saba nyuma ya Yanga

Wananchi sasa wanaelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Jumapili Februari 11 katika uwanja wa Sokoine

Hii itakuwa nafasi nyingine kwa Yanga kuzidi kujichimbia kileleni mwa msimamo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’