Yondani nae kuikosa Welayta Dicha uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Apr 2018
Yondani nae kuikosa Welayta Dicha uwanja wa Taifa
Kelvin Yondani ameongeza idadi wa wachezaji wa Yanga wenye kadi mbili za njano hivyo kuukosa mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa hatua ya makundi kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Papi Tshishimbi, Obrey Chirwa na Said Juma Makapu wanafanya idadi ya wachezaji watakaoukosa mchezo huo kuwa wanne kulingana na taarifa iliyotolewa na CAF.

Wote walionyeshwa kadi za njano kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers.

Katika mchezo huo wachezaji watano wa Yanga walionyeshwa kadi za njano huku kocha msaidizi Shedrack Nsajigwa akiondolewa kukaa kwenye benchi.

Welayta Dicha nayo itawakosa wachezaji wawili, Teklu Tafese Kumma na Eshetu Mena Medelcho.

Klabu hiyo kutoka nchini Ethiopia inatarajiwa kuwasili leo tayari kwa mchezo utakaopigwa Jumamosi, April 07 2018
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’