Kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2024
Kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc

Kesho Alhamisi, Februari 08 Yanga itashuka tena uwanja wa Azam Complex kuikabili Mashujaa Fc katika mwendelezo wa mechi za viporo, Ligi Kuu ya NBC

Baada ya kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi, hii ni mechi nyingine ambayo Yanga inazihitaji alama zote tatu ili kuendelea kujiimarisha katika nafasi yake

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Azam Complex hapo kesho ili kuiongezea hamasa timu yao

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 20,000/-,Β  VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’