Yanga kuzindua ofisi Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2024
Yanga kuzindua ofisi Jangwani

Ikiwa katika wiki ya maadhimisho ya miaka 89 ya Yanga, mabingwa hao wa kihistoria leo wataziundua ofisi za zilizo Makao Makuu Jengo la Jangwani

Kuna ukarabati mkubwa umefanyika kwenye jengo hilo na leo kuanzia saa nane mchana Wananchi watakwenda kushuhudia ofisi za kisasa ambazo pengine zitaifanya Yanga kuwa klabu ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki kumiliki ofisi zenye hadhi ya klabu kubwa tena katika jengo lake

Baada ya uzinduzi, shughuli zote za klabu zitafanyika Jangwani. Ofisi za watendaji wote wa klabu zitakuwa hapo

Katika uzinduzi huo pengine Yanga huenda ikatangaza kuanza kwa mchakato wa ujenzi wa uwanja wake utakaochukua takribani mashabiki 30,000

Ni ahadi ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said kuwa kabla ya kumaliza uongozi wake, atahakikisha Yanga inamiliki uwanja wa kisasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’