Wapinzani wa Yanga katika michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, Welayta Dicha wanatarajiwa kusawili kesho Jumatano saa sita mchana.
Jumamosi ijayo, April 07 2018 Welayta itakuwa mgeni wa Yanga kwenye uwanja wa Taifa katika mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho.
Uongozi wa Yanga umethibitisha juu ya kuwasili kwa timu hiyo kesho.
Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo huo ambao inahitaji kuibuka na ushindi ili kuweka mazingira mazuri ya kutinga hatua ya makundi.

ADVERTISE HERE