Yanga Princess dimbani dhidi ya Geita Gold Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2024
Yanga Princess dimbani dhidi ya Geita Gold Queens

Wakati kaka zao Yanga wakiwa Bukoba kukabiliana na Kagera Sugar saa 10 jioni, kinadada wa Yanga Princess leo wanarudi tena uwanja wa Azam Complex kuchuana na Geita Gold Queens

Mchezo huo wa raundi ya nane ligi kuu ya Wanawake, utapigwa saa 12:30 jioni

Baada ya ushindi dhidi ya Bunda Queens katika mchezo uliopita, matarajio ya Wananchi ni kuona Yanga Princess inakusanya alama nyingine tatu leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’