Kikosi cha Yanga kimeondoka Dar es salaam mapema leo kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo utapigwa kesho Ijumaa katika uwanja wa Kaitaba
Yanga imeondoka kwa usafiri wa ATCL kupitia mkoani Mwanza


ADVERTISE HERE