Morrison alishuhudia 5G ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jan 2024
Morrison alishuhudia 5G ya Yanga

Licha ya kutandaza kabumbu huko Morocco, winga mtukutu Benard Morrison yuko nchini akiendelea na matibabu ya majeraha aliyopata

Kwa mujibu wa klabu yake ya FAR Rabat, Morrison anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi sita

Jana Morrison alikuwepo dimba la Azam Complex kuwashuhudia Wananchi katika mchezo wa raundi ya pili kombe la FA dhidi ya Housung Fc Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 5-1

Morrison yuko nchini kwa ajili ya matibabu ambayo yanasimamiwa na timu ya Madaktari wa Yanga

Ni Morrison mwenyewe aliyechagua kuja kutibiwa nchini na madaktari hao ambao waliwahi kumtibu wakati yuko Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’