Baada ya mkataba wake na Yanga kusitishwa kwa makubaliano ya pande mbili, winga Jesus Moloko amepata timu huko Libya
Winga huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ametua klabu ya Al Sadaqa SC Benghazi inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Libya
Wananchi wataendelea kumkumbuka Moloko kwa misimu miwili aliyowapatia
Kila la kheri katika majukumu ya timu mpya..
ADVERTISE HERE