Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, Yanga Princess leo imezinduka ikiichapa Bunda Queens bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex
Bao pekee la Yanga Princess lilifungwa na nyota raia wa Marekani Kaeda Wilson katika kipindi cha pili
Yanga Princess imefikisha alama 12 kutoka mechi saba walizocheza



ADVERTISE HERE