Mama Karume atinga Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2024
Mama Karume atinga Jangwani

Mjumbe wa kudumu wa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga Mama Fatma Karume leo ametembelea Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam

Taarifa ya Yanga imebainisha kuwa Mama Karume alipokewa na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Yanga, Makamu wa Rais Arafat Haji na Mtendasji Mkuu Andrea Mtine

"Mama Karume alipokelewa na Makamu wa Rais Arafat Haji, Mjumbe wa Kamati ya utendaji Alex Ngai pamoja na Mkurugenzi Mkuu Andrea Mtine na kuzungumzia mambo mbalimbali ya maendeleo ya Klabu yetu"

"Mama Karume ameridhishwa na kufurahishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Klabu yetu na kupongeza jitihada za Uongozi wa Yanga chini ya Rais wetu Eng Hersi Said," ilisema taarifa ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’