Yanga Princess kibaruani dhidi ya JKT Queens leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jan 2024
Yanga Princess kibaruani dhidi ya JKT Queens leo

Ligi Kuu ya Wanawake inaendelea ambapo leo inaingia mzunguuko wa sita

Kinadada Wananchi Yanga Princess watakuwa uwanja wa Azam Complex kuwakabili wababe JKT Queens

Ni wazi Yanga Princess watahitaji kuwa katika ubora mkubwa kuondoka na alama tatu leo kutokana na mwenendo wao usioridhisha msimu huu

Yanga Princess tayari imepoteza mechi mbili kati ya tano walizocheza mpaka sasa wakati wapinzani wao JKT Queens ambao ni mabingwa watetezi, ndio vinara wa ligi wakishinda mechi zote nne walizocheza msimu huu tena pasipo kuruhusu nyavu zao kutikiswa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’