Lomalisa kuongeza mkataba Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jan 2024
Lomalisa kuongeza mkataba Yanga

Uongozi wa Yanga umefungua mazungumzo na mlinzi wa kushoto Joyce Lomalisa Mutambala ili kumuongezea mkataba. Mkataba wake na awali unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu

Lomalisa amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Yanga msimu huu, ni uamuzi sahihi kwa Yanga kumuongezea mkataba wakati huu kuliko kusubiri mwishoni mwa msimu kwani tayari kuna klabu zinamtolea macho

Lomalisa na Maxi Nzengeli ni Wacongomani pakee waliobaki kwenye kikosi cha Yanga baada ya Wananchi kuachana na Jesus Moloko katika dirisha dogo

Msimu wa 2019/20 Yanga iliwasajili Mukoko Tonombe na Tuisila Kisinda na msimu wa 2020/21 kuwasajili Fiston Mayele, Djuma Shaban, Yannick Bangala, Moloko na kumrejesha Heritier Makambo kabla ya kumuongeza Lomalisa katika dirisha dogo la msimu uliofuata huku ikiachana na Mukoko na Kisinda akielekea RS Berkane

Nyota hao walishiriki kikamlifu kuirejesha Yanga kwenye mwendo wa mataji lakini msimu uliopita Yanga ikaachana na Makambo, Bangala, Djuma na Mayele aliyeuzwa Pyramids, Kisinda akirudi tena Berkane baada ya kuitumikia Yanga kwa mkopo huku ikimsajili Maxi

Moloko ameondoka dirisha dogo sasa akiwaacha Maxi na Mutambala

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’