Yanga kuweka hadharani ratiba mechi za kirafiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2024
Yanga kuweka hadharani ratiba mechi za kirafiki

Bado kuna takribani mwezi mzima wa Wananchi kusubiri kuishuhudia tena timu yao ikcheza mechi za mashindano

Ukweli ni kuwa ni muda mrefu sana, pamoja na kuwa kikosi kinaendelea kujifua Avic Town kwa wachezaji ambao hawana majukumu ya timu za Taifa

Katika kipindi hiki Yanga inatarajiwa kucheza mechi za kirafiki ili kuhakikisha wachezaji wanaendelea kubaki katika hali ya ushindani

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amehitaji mechi hizo kwa ajili ya kukipima kikosi chake baada ya mfululizo wa mazoezi

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema wiki ijayo wataweka hadharani mechi ambazo watacheza

Baadhi ya mechi zitapigwa Avic Town lakini nyingine huenda zikapigwa dimba la Azam Complex ili kuwapa fursa mashabiki kuiona timu yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’