Ligi Kuu ya Vijana U20 inaendelea kutimua vumbi ambapo leo mchezo wa pili wa derby ya Yanga U20 dhidi ya Simba U20 utapigwa uwanja wa Azam Complex
Wananchi wataingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 4-1 walioupata katika mchezo wa duru ya kwanza
Mchezo utapigwa saa 10 jioni...!

ADVERTISE HERE