Mayele uso kwa uso na Musonda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2024
Mayele uso kwa uso na Musonda

Washambuliaji Kennedy Musonda na Fiston Mayele jana walikutana wakiwa kwenye majukumu ya timu za Taifa

Zambia na DR Congo zilichuana katika mchezo wa michuano ya Afcon 2023 kundi F mchezo uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Wawili hao waliunda pacha ya hatari ya kikosi cha Yanga katika michuano ya kombe la Shirikisho msimu uliopita

Tangu Mayele aondoke Yanga, bado Musonda hajaweza kuziba nafasi yake Yanga ikilazimika kusajili mshambuliaji mwingine Joseph Guede

Pengne Musonda pia anaweza 'kuwaka' pale atakaporejea kutoka kwenye michuano ya Afcon

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’