Ligi Kuu ya Wanawake inaendelea kutimua vumbi ambapo sasa imeinga katika mzunguuko wa tano
Kinadada Wananchi Yanga Princess leo watakuwa uwanja wa Azam Complex kuikabili CEASIAA Queens saa 10 jioni
Yanga Princess itakuwa ikisaka ushindi wa nne katika mchezo wa tano wa ligi hiyo

ADVERTISE HERE